Ni Jumapili ya kwanza ya mwaka 2024 ambapo kanisa litajumuika na waazilishi wa kanisa hili waliohudumu miaka takribani 12 iliyopita (Tangu November 2012)
Ibada itaambatana na shukurani kwa mwenyezi Mungu ambapo kwaya za Neema AICT Kibada na kwaya ya Vijana zitahudumu.
Karibu Tumshukuru Mungu kwa Yote