IBADA YA TAREHE 31/12/23
Mhubiri Rev. Amos Mabele Neno Kutoka Kitabu za Zaburi 66:1-9 Somo: Mambo 4 ya Kukumbuka Kumfanyia Mwenyezi Mungu Kumwimbia Mungu Kumtolea Mungu sifa Kumbuka matendo makuu ya Bwana Kumtolea Mungu Kafara (Kumtolea Mungu shukurani kwa matendo yake). Video link coming soon Zaburi 66:1-19 1 Mpigieni Mungu kelele za shangwe, nchi yote; 2…