Ibada ya Kuwekewa Mikono kwa Viongozi wapya chini ya Rev. Mabele. Somo kutoka Waraka wa 1 wa Petro 5:1-2
Waajibu wa Viongozi na Wenza Wao – Maeneo 3
- Kuwa chachu ya Ulinzi wa kipekee wa kanisa. (Kuwalinda kondoo hata mmoja asipotee).
- Kulisha kundi la Bwana (Kila Ibada imuinue Mungu)
- Kusimamia Ibada ipasavyo