IBADA YA KUWEKEWA MIKONO WAZEE WA KANISA – 17/12/2023
Ibada ya Kuwekewa Mikono kwa Viongozi wapya chini ya Rev. Mabele. Somo kutoka Waraka wa 1 wa Petro 5:1-2 Waajibu wa Viongozi na Wenza Wao – Maeneo 3 Kuwa chachu ya Ulinzi wa kipekee wa kanisa. (Kuwalinda kondoo hata mmoja asipotee). Kulisha kundi la Bwana (Kila Ibada imuinue Mungu) Kusimamia Ibada ipasavyo